Uko sahihi. Wanakulana balaa![emoji1787]View attachment 1946229
Brunch [emoji16][emoji16][emoji16]
Yap! Enzi zetu ukiwa nayo hii - Phoenix mpya kabisa ukaitia na madoido ya hapa na pale aisee mademu ungewakunywa tani yako...mpaka wa vijiji vya jirani yaani!Umeona ujumbe unavyosema huo!
Ankali umetokea ushuani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1946004
Mbona yako sijakosea hata siku moja? [emoji706][emoji706][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasukuma bwana!!
Na kwa kukosea namba hawajambo[emoji2297][emoji2297]
Wanaanzaga hivyo hivyo. Just wait and see!Mbwembwe tu hizo.
Akiizoea Ikulu ndiyo naweza kuwa na kitu cha kusema
Hili litoto likikua liende JWTZ hili. Litatufaa sana hili [emoji16]
Tena unalo!Mmh leo mbona nimelianzisha[emoji38][emoji38]
Ukiona huu utopolo piga mimba binti yao halafu relax. Watakutafuta tu na haya yote hayatakuwepo!Aseeee[emoji3064][emoji3064]View attachment 1946265