Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Na nyie huko kwa Mkapa mmepigwa. Inasemekana eti mlikosea kwa mgeni wa heshima.Ankali leo nimeumia sana.
Maana Kuanzia leo Yanga watakuwa watazamaji kwenye Klabu Bingwa Afrika.[emoji23]
Wangeshinda makelele yake tungekoma. Asante mgeni rasmi kutoka Galilaya [emoji1545][emoji122][emoji122]Nilijua tu,maana kupo kimya sana sijasikia makelele,lkn vipi u po salama ankalii jam an I[emoji34]
Hawana maajabu baada ya kumsajili chama na Nixon ili kubust timu wao wamemsajili manara matokeo yake ndio hayaUto nao hoii dah!
View attachment 1945392
Yaani,kungekuwa na mikelele sio ya nchi hii[emoji120]Wangeshinda makelele yake tungekoma. Asante mgeni rasmi kutoka Galilaya [emoji1545][emoji122][emoji122]
Motoni wanaselfika[emoji41]Ukielewa hii meme we jua tu huko Jehanamu utatumika kama kuni![emoji16]
View attachment 1945430
Jicho moja kwa macho matatu,,[emoji23][emoji23][emoji23]Ukielewa hii meme we jua tu huko Jehanamu utatumika kama kuni![emoji16]
View attachment 1945430
Salama ankali, habari za pande hizo.Nilijua tu,maana kupo kimya sana sijasikia makelele,lkn vipi u po salama ankalii jam an I[emoji34]
Na hiyo ndiyo laana inayowaumiza.Wanarud ktk nafas yao ya kushangilia wagen
Mbona huku mtaani kwetu ni mwendo wa kelele tu.Wangeshinda makelele yake tungekoma. Asante mgeni rasmi kutoka Galilaya [emoji1545][emoji122][emoji122]