Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapo namba 13 haijaniacha salama, nilikua mwongo mwongo sana mwenye hadithi za kutunga, sema washkaji walizipenda tu licha ya kujua ni za uwongo, na pia kwenye daftari la wapiga makelele sikua naachwa nyuma.
Ungekuwa unahadithia na hela[emoji16]ungekuwa unapiga hela[emoji41]

Nilikuwa naandika story,bila 100 simpi mtu kusoma[emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…