Jibu analo babu SYB[emoji16]View attachment 1936784
Ushindweee [emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji23][emoji23]Unadhani mama J angepata umaarufu alionao sasa kama angefanya kimya kimya alichofanya!!Akikurekodi nawe mrekodiView attachment 1936819
Mbeya hatutafika. Tutashukia njiani tu...[emoji23][emoji23]Asee tutabebana kwa mudaView attachment 1937143
Walivyo na makusudi makonda wamemweka kwnye siti iliyoandikwa funguka sijuh wanautani na wanyakyusa au WANYAKI[emoji23]Mbeya hatutafika. Tutashukia njiani tu...
Uvumilivu hauna mwisho hadi umauti ndo uvumilivu wako ndo unafika mwishoYanga bana.... Mimi Mkenya hapa shabiki wenu kindakindaki lakini uvumilivu umepitiliza, shida nini jameni....