Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,849
- 147,122
Maumivu yake siyo ya kitoto[emoji57][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1936406
Maumivu yake siyo ya kitoto[emoji57][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1936406
Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli acha kudanganya watu mtumishi!Nauliza tu?View attachment 1936400
Mimi nimepata neema hiyo Mtumishi. Mungu ni mwema, na wewe utayapata tu ukifika 77Siku hizi hakuna mapenzi ya kweli acha kudanganya watu mtumishi!
Kwa nini wewe usiweke vocha yako mpaka utegemee mwanaume?Kumuacha unasubiri nini?? Mkeka uchanike au[emoji16]View attachment 1936445
Akili kumkichwa[emoji23]
Teh mchepuko ana majibu ya kukata mainiMaumivu yake siyo ya kitoto[emoji57]
Babu[emoji3]. Jamani si Mabaharia wanasema pesa ndio nguvu za kiume[emoji3]Sasa kama hana hata ya vocha khaaaa! Kitandani si upepo tu[emoji1379][emoji1379][emoji1379]Kwa nini wewe usiweke vocha yako mpaka utegemee mwanaume?