Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tutumiane,na mie nitumie hiyo kitu yako, nitakuambia kama ni kibamia au ni karoti[emoji2902][emoji2902][emoji2902][emoji2902]
FB_IMG_16315088389917130.jpg
 
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe BETTY[emoji2][emoji2][emoji2]

JOHN: Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]
BETTY: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]

JOHN: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. [emoji54]
BETTY: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? [emoji53]

JOHN: Basi yaishe endelea kulala[emoji847]
BETTY: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio? [emoji855]

JOHN: Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby [emoji47]
BETTY: Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?[emoji40]
JOHN: Jamani mi sijasema hilo[emoji20]
BETTY: Kwa hiyo mie muongo?

JOHN: Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii[emoji21]
BETTY: Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?[emoji36]

JOHN: Sikia we lala mie naenda jogging.[emoji43]
BETTY: Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"[emoji850]

JOHN: Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
BETTY: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe...

JOHN: Basi ngoja tu nilale siendi jogging
BETTY: Kwahiyo ulikua unanijaribu?

[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Wanawake Mungu anawaona
 
Back
Top Bottom