Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,377
Girls; this is extremely important! 





Ankariii,wacha nivae miwani,nitazame vizuriAnkali Umelipenda eeeh![]()

MmmhWanawake wa India, Pakistan, Bangladesh hawataki mchezo.
Siyo nyie wa huku kwetu kila kitu mnawategemea wanaume View attachment 1935451
Nisamehe babu yangu,,,nije nichukue zawadi au nimechelewaUnapotea bila kuaga bana. Hooovyoo![]()

Tusio na shepu huu mshono hautufahi kabisa

Kapona huyu komedian dah!
Hamia Simba l, Yanga itakuchelewesha

Nimekununia. Njoo uchukue laana tu labda. Ila ukileta blanketi na ugoro laana inakwisha. Njoo!Nisamehe babu yangu,,,nije nichukue zawadi au nimechelewa![]()
Kwakweli,babu yangu mwenyewe anaitwa simbaHamia Simba l, Yanga itakuchelewesha![]()
,yanini kushabikia yanga
Mimi Yanga halafu Aseno...halafu Msukuma. Maisha yangu ni magumu mno!Hamia Simba l, Yanga itakuchelewesha![]()
Jamani hiiiiiiii,wacha nikuletee,nisipata laanaNimekununia. Njoo uchukue laana tu labda. Ila ukileta blanketi na ugoro laana inakwisha. Njoo!
