Ooh,[emoji848][emoji848].Ii kipindi icho watoto wa kike walikuwa wanaitumia ety kukuza nyonyo[emoji28][emoji28]
Daah inasikitisha sanaNguzo aliyopanda ilikatika kwa chini, ilisimama kwa msaada wa waya.
Alipanda juu kubadirisha waya, alipoondoa waya nguzo ikaanguka naye, imemkandamiza na kumvunja baadhi ya viungo vya mwili.
Amefariki.
Nimekutafuta kila kona hupatikani. Hujambo?salaaam babu....Bora nikose bando,kuliko kukosa mtindi wa ngosha[emoji41]View attachment 1935200View attachment 1935205
BabuNimekutafuta kila kona hupatikani. Hujambo?
Basi ni undugai umenijaa kwa kichwa [emoji16][emoji126][emoji126]View attachment 1935288
So nayo inahesabika kama dhambi??[emoji23]Koh koh kohView attachment 1935290
Kuna mrembo mtaani kwetu hiyo ni kazi yake kuruka usiku
YouTube channel yao inaitwaje?