Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapo labda nije nikusaidie kupiga story na kula maparachichi, wakati unaendelea na kazi.

Afu hapo nje mbona pazuri hivyo Mtumishi; tufanyie tu besidei party yetu hapohapo[emoji126][emoji126]

Sawasawa mtumishi mwema. Birthday tutafanyia huku nyuma. Kuna ka jacuzzi ka Kisukuma hivi katatutosha. Mungu Atutunze mpaka hiyo Desemba 21 basi ikimpendeza. Asante sana....[emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…