Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Yanga ina tatizo la kuanza vizuri halafu huko mbele inavurunda.Kuwa shabiki wa hii timu kunahitaji uvumilivu sana, ni kama timu yangu ya Yanga, nikiwa kwenu huko mimi huishabikia sana ila wananiangusha pia....
Ina maana mpaka leo mumeo/hubby/mpenzi akikukanya tu unakuwa sawa? Kama ni hivyo basi wazazi walifanikiwa sana [emoji122][emoji122][emoji122]
Yanga ina tatizo la kuanza vizuri halafu huko mbele inavurunda.
Gormahia iliishia wapi? Kuna kipindi niliipenda sana.
Vipi siku ukitandikwa kakofi? Patachimbika eeh!? You will be like "Baba hakuwahi kunizaba kibao we ni nani mpaka unitandika kofi. Mi narudi kwetu" [emoji16][emoji16][emoji16]Eeh haswa likiwa jambo la kweli. Ila akinikanya kwa kunionea, dakika tu chozi lishafika mguuni. Akiwa karibu yatawahi kuisha; akiwa mbali ajiandae kwa magazeti
Mambo ya Manara bwana ni sawa tu na wanasiasa wetu hawa. Wanatoa maneno makali na kujiapiza halafu tena wanarudi wanafanya yale yale. Wanayanga sijui wanajisikiaje kwa sababu alipokuwa Simba aliwachachafya kwelikweli wanautopolo!Mimi huku hasidi wa Gor Mahia, siwapendi maana wakishnda huwa hakukaliki kwa kejeli zao, kama wana SImba tu ambao walikua wanasababisha Dar hakukaliki kila wakishinda hehehehe!!!
Hivi huyo Manara mbona walmpokea Yanga na alivyokua hovyo kwa kejeli zake dhidi ya Yanga, bora angekwenda Azam au kwingine.
Sidhani kama itafikia huko kwenye makofi; watu wazima tunaongea kama watu wazima na kuelewana. No need ya matumizi ya nguvu, especially kwa mtu ambaye ni mnyonge/dhaifu kwako. Siku itokee, basi ntajitahidi kutumia njia ambayo itamfanya asirudie tena kunyanyua mkono wake.Vipi siku ukitandikwa kakofi? Patachimbika eeh!? You will be like "Baba hakuwahi kunizaba kibao we ni nani mpaka unitandika kofi. Mi narudi kwetu" [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeongea kwa busara sana. Mumeo ana bahati kama siyo furushi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sidhani kama itafikia huko kwenye makofi; watu wazima tunaongea kama watu wazima na kuelewana. No need ya matumizi ya nguvu, especially kwa mtu ambaye ni mnyonge/dhaifu kwako. Siku itokee, basi ntajitahidi kutumia njia ambayo itamfanya asirudie tena kunyanyua mkono wake.