Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

'
20210827_074356.jpg
 
Jamaa na unene wake wala hakuwa na haja ya kujificha wala nini. Angekuwa mobile ana-take cover huku na huko sijui ingekuwaje. Alikuwa peupe kabisa kasimama tu na limwili lote hilo polisi wanammiminia risasi lakini hazimpati. Labda SWAT walikuwa hawajafika...
Labda kama unaizungumzia SWAT original, Bongonyoso kila kitu valuvalu.
 
Back
Top Bottom