Vituko mitandaoni. Tupia chako

Loooh, [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Na ninavyowajua mtaweka mpaka wakili kutoka TAWLA, kwakuwa tu kaombwa ndogo[emoji849]
Na wala hajabakwa, kaombwa tu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dah!

Muuaji alipaniki. Kwani angekataa tu asingeeleweka? Hakukuwa na ulazima wa kumuua baharia labda kama alikuwa anataka kutumia maguvu!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dah!

Muuaji alipaniki. Kwani angekataa tu asingeeleweka? Hakukuwa na ulazima wa kumuua baharia labda kama alikuwa anataka kutumia maguvu!
Hata kama alitumia maguvu, angeenda akamshitaki polisi, sasa kisu cha moyo, kisu cha tumbo
[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…