Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nakwambi Hapa Tanzania kwasasa tunadabi tatu 1.Simba vs Yanga
2.Twaha Kiduku vs Dulla Mbabe
3.Gwaji boy vs Gwaji girl
Hiii ya mwisho ukichanja chanjo maanake ww ni ngwaji girl na ukichanja mbuga maanake ww ni Gwaji boy sasa maisha ni kuchagua
Na Hadi tunaingia mitamboni timu FT :Gwaji boy 3 vs 0 Gwaji girl
 
 
Inasemekana Dulla Mbabe aligeuka akawa ni Dulla Makabila, chips za Dar zinaendelea kunangwa baada ya pambano lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…