Hivyo nitaviona tu Inshallah! Halafu ni wewe tu mjukuu wangu unanichelewesha. Please olewa ningali hai ili nivione vitukuu vyangu jamani. Mabaharia wapo wengi tu hata humu JF. Chagua mmoja mi nifurahi pulizi
Mchungaji wa kanisa la Zion nchini Zambia James Sakara, aliyewaomba baadhi ya waumini wake wamchimbie kaburi na kisha wamzike akiwa hai kwa madai ya kwamba baada ya siku tatu angefufuka kama Yesu, amekutwa akiwa amefariki dunia