Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,381
Hatari huyu mzungu
Hatari huyu mzungu
Daaah eti huyu nae ni waziri, kiukweli tuna safari ndefu kama taifa.
Hii nchi ina laana kubwa, haiwezekani kwa akili hizi tufikie uchumi wa kati.Halafu anamkosoa CAG aliyefanya kazi yake kwa ithibati
Tulia mzee wa kupanik na serkal yako mnaongoza kwa mihemko mihemko na kiki uku mnasahau mnacheza na maisha ya watu kabsaaa