Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,381
Mnh jamani huo mkomao sio wa kawaidaAiseee hawa wadadaView attachment 1054720
Hata hapa ilishawahi kutokea sikumbuki ni wapi
AiseeView attachment 1078561
Geuza simu yako iwe juu chini - kisha soma tena.Ongea na rafiki zako,mpenzi wako,mke wako si kila “I’m fine” inamaanisha hivo.....zingine nyuma yake zina disappointment,zina maumivu,zina kukata tamaa,zina depression sa zingine si rahisi kugundua haraka haraka mda mwingine anaweza kuchange ghafla usimwelewe mkagombana try to calm and talk
Hichi kiti cha Michele
Duh .....wachukue wafungwa toka huku bongo