Musiba mahakama zinazidi kumpelekea moto. Sasa anatakiwa kumlipa Prof. Tibaijuka milioni 80. Ukiongeza na ile bilioni 7 ya shangazi kazi anayo! View attachment 1891076
Ndio maana sipendi siasa, kwetu hapa nilishazitema kabisa, unajifanya chawa wa kiongozi halafu siku akija dondoka unaachwa mwenyewe umeanikwa. Watu huwa hawajifunzi na kilichotendeka kwenye utawala wa Hitler, mpaka leo kuna waliokua wapambe wake wanasakwa hadi uzeeni, unakuta babu kajizeekea ila akibainika alikua na ukaribu fulani na Hitler anakamatwa hivyo hivyo na umakamo wake.
Uzuri mibabe ya kihivyo haina mbio, namuambia baby aondoke kwanza baadaye atapewa habari ya show yenyewe maana nawapopoa kwa mawe huku nikiwakimbia.......Nitawatesa sana maana kila wakitulia tu...jiwe kichwani...sema huo mtaa ndio basi tena nauhama.