Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,565
Huyu naye. Mbona kapewa compliment nzuri tu (na sala juu) lakini bado anang'aka?
Huyu naye. Mbona kapewa compliment nzuri tu (na sala juu) lakini bado anang'aka?
dereva wa boda boda kapewa gari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa pale mwisho alivyomaliza
Huyo dem si angeomba tu vocha sasa katoa maelezo kibao extended[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa pale mwisho alivyomaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli aisee sijui kwa nini alikuwa hasemi tu moja kwa mojaHuyo dem si angeomba tu vocha sasa katoa maelezo kibao extended