Heh heh heeee. Haya bhanaWewe cheupe rangi ya mtume hii haikuhusu [emoji16][emoji16][emoji870][emoji870]
Alyssa Montana wa Marekani ashinda mita 800 akiwa na mimba ya miezi 5.View attachment 1885183
Nipo rafiki. Kazi zimenibana sanaUpo rafiki[emoji870]
Religions vaccinations[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].Hii vp?
Mwanamke nimemsikia You Tube anadai ni mzoefu wa michambo hivyo hakuna jipya kwake, anasema 'eti' yeye na kibenten wake ni same age japo amekataa katakata kutaja umri kwa kuwa eti mwanamke hatakiwi kujata umri kwani ni jambo nyeti kwao akina mama.Najiuliza tshabalala na mkewe wanajisikiaje kuona walivyotrend
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wembamba wa reli.[emoji23][emoji23]hcho kishkaji si kitakufa
[emoji16][emoji16]View attachment 1883271
Nitume nije nikusaidie rafiki[emoji23][emoji23]Nipo rafiki. Kazi zimenibana sana
Wanasema cha kwanza ndo cha maana. Vinavyofuatia ni kuimarisha CV tu na kutoharibu jina hapo mtaani!
Sijui inatatizo gani [emoji1745][emoji1745]View attachment 1883714
Huyu jamaa njaa tuu baada ya kuona hakuna msanii anayetaka kufanya kazi nae