Porkchop Trump.
Someone said you're a con man Ila sijakuona ukijibu kuhusu hizo tuhuma. Whats up?
Trump aliyepita
Kimeumana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo Tanzania ya sasa. Mwalimu Nyerere akifufuka atashangaa sana kuona upendo, undugu na mshikamano aliohangaika kutujengea haupo tena...ni enzi za mitandao...