Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,684
Kidogo tu aisee
Huko Dominican Republic kuna watoto huwa wanazaliwa wakike wakikua wanakuwa wa kiume kabisa bila operation,ni kiasili kabisa,Mungu ana maajabu yake
Lazma uwe chizi, hawa jamaa hujifanya madereva na ukichunguza vizuri hata DL hawana. 😂 😂 😂 Aombe insurance iwe sawa ya huyo boss! Dadeq! 🤣
😂Huko Dominican Republic kuna watoto huwa wanazaliwa wakike wakikua wanakuwa wa kiume kabisa bila operation,ni kiasili kabisa,Mungu ana maajabu yake
Inaweza ikaanguka au ikapita nacho na kutoboa/kukata hose ya majiHapa treni inaweza kuanguka?
Kanogewa anadhani shingo ya muhalifuAnataka amGeorge Floyd mwenzake? Safi sana!
Hahahah na kweli kulikua na rumours nyingi sanaImagine UKIMWI ulipokuja kama kungekuwa na hii mitandao sijui ingekuwaje!
Ni kweli vijana wengi wa Carwash hasa hapo kwa Ngosha opp na Mahakama ya Dodoma wana mtindo wa kutaka kukabidhiwa funguo ili wakimaliza wasogeze wakalikaushe, huyu dogo baada ya ajali kweli akajifanya chizi lkn wamemdhibiti
Nina shaka hata lile jingine pia katobolewa pembeni



Ndio maana naona bora ujenge nyumba kuliko kununua gari kwa maana nyumba hata kama ingekua ni ajali ya kuungua moto ama kubomoka, kiwanja kitaendelea kubaki hata tent utajenga na kuishi kwenye kiwanja (Ardhi kila siku inapanda bei)Kibaya ukute hana bima kubwa,lazima uweukee.
Gari zuri likiwa linatembea,na mmiliki unapesa ya wese,kinyume na hapo ni pambo kama mapambo mengine nyumbani.