Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,733
- 7,008
Yayagweeee[emoji2296][emoji2296][emoji1787][emoji1787]....Kwa jinsi 'trend' yako inavyoonyesha najua nitakukuta kule kwenye kufuka moshi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Iwe hivyo basi [emoji120]Yayagweeee[emoji2296][emoji2296][emoji1787][emoji1787]....
ila mbinguni nitaingia najua[emoji4][emoji4]
Tutakuua kweli ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kimombo ndugu yangu. Hata Shakespeare akasome [emoji16][emoji16][emoji16]
Ulitaka akusevu mla mbwa au hakawii kujinyonga? [emoji16][emoji16]
Imagine UKIMWI ulipokuja kama kungekuwa na hii mitandao sijui ingekuwaje!View attachment 1876984
Watu kuogopa vitu vipya na kutunga uongo haijaanza leo kwenye chanjo tu. Toka kitambo
Angalizo: Siyo Msukuma [emoji51][emoji51][emoji51]
Anataka amGeorge Floyd mwenzake? Safi sana!View attachment 1876972
Afande kakosea [emoji23][emoji23]
Hapa treni inaweza kuanguka?
MmmhWanaume tufanye sana jamaniView attachment 1877395