Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,090
- 12,815
Hapa dawa ni kuanza kuweka codes za mitandao yote, hadi apatikane.Mabaharia nyie wa kula kimasikhara siwaamini kabisa. Fundi wa watu msije mkaenda kumharibia kazi yake bure tu[emoji16]
Haharibiwi kazi bali atakuwa anapewa tips na offer mbali mbali baada ya kumaliza kazi, huwa tunawapenda mafundi wetu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Mabaharia nyie wa kula kimasikhara siwaamini kabisa. Fundi wa watu msije mkaenda kumharibia kazi yake bure tu[emoji16]
Haha kwanini?Nimekuwa kuku eeeh 🙁🙁
Mpaka aniambie
Aiseee! Yaani hili nalo ni tatzoUzinduzi wa daraja la Tzsh. 31M [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1873022
Kwani inabak na alama au inaishaaa