Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

-5773932606159697134_121.jpg
 
Mbaya wa mtu mweusi sio mzungu bali ni sisi kwa sisi, ila kwa sababu ya ubinafsi na uchoyo wetu wazungu nao wanapita hukohuko. Mtu unajisikiaje kumiliki mabilioni ya mali tena kwa kutumia pesa za wananchi masikini kabisa, hivi unajisikiaje kwanza?! Fahari yote hiyo ya nini?! Nchi masikini kwelikweli halafu unaskia mtoto wa rais au pm anamiliki majumba na magari ya kifahari ya kila aina huku wananchi wao wananuka umaskini wa kutisha. So sad
Tuna shida sana aisee
 
Ndiyo maana mimi huwa nikiona mtu analaumu sijui mabeberu sijui nini huwa nampiga biti pale pale. Chukua hiyo ripoti ya CAG ya mwaka huu. Angalia mapesa yote yale yaliyotafunwa na wajanja. Halafu eti bado kuna watoto wetu wanakaa chini hawana madawati. Mkiulizwa ooh mabeberu. Mabeberu my foot. Beberu wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe...
Mabeberu hiyo sababu ishapitwa na wakati, ni mjinga tu ndio atakubaliana nayo! Tatizo ni sisi wenyewe na ubinafsi wetu!!
 
Back
Top Bottom