Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,321
- 71,088
Haya mkapeane pole na babu yako shimbaNipo porini huku hakuna hata mwenye tvView attachment 1868114


Haya mkapeane pole na babu yako shimbaNipo porini huku hakuna hata mwenye tvView attachment 1868114



hata mimi ningejitoaTimu ya wananchi ile wewe. Bakini huko na timu yenu ya MO na Barbrahata mimi ningejitoa




Hahahahahaha.Anyway tuachane na ukabila ila wapush elimu muhimView attachment 1868160

Babu,kuna mtu ananizomea

Haya mkapeane pole na babu yako shimba![]()
nimekuja spidi,si kuna lijitu nililitext ,,oya vipi matokeo nani kachinjwa,...nyau yule si akaniambia yanga wamechinja simba kwa wembe




Kwani mkuu hapo inahitaji elimu kujua kama ni pa kukojolea tu?! Huyo ni mbu mbumbu tuAnyway tuachane na ukabila ila wapush elimu muhimView attachment 1868160



Pole kwa kushabikia simbaMkuu samahani sana![]()

Alikutisha tu huyo, mashabiki wa yanga hawataki hata kuulizwa matokeo leonimekuja spidi,si kuna lijitu nililitext ,,oya vipi matokeo nani kachinjwa,...nyau yule si akaniambia yanga wamechinja simba kwa wembe
Kumbe limenidanganya nyau yule![]()

