Vituko mitandaoni. Tupia chako

Babu usiniache
 
Mmh matumizi mabaya ya Watumishi. Sasa kumjali mwenzio hadi ndiyo nikuwekee mkono, khaaaaa
Niwekee mkono mtumishi. Pepo la ubahili tokaaa! Faya faya faya pepo la kutokumjali mwenzio tokaaa! Shandala la la la bobolimoku po po po pa pa pa faya faya tokaaaa!

Kanisa lako liko sehemu gani huko Mbeya? Au ni lile nyuma ya lile la Mbarikiwa Mwakipesile karibu na barabara kuu iendayo Uyole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…