CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana Mkuu,mie najipigia kampeni tu nipate na mimi mtu wa kunishika mkono twende kanisani kufunga ndoa. Ila hata mimi hii ishu ya miamala sijailewa kabisa. Naungana na waTanzania wenzani ktk maumivu haya Mkuu.Nyinyi ndo mnasababisha kupandishwa kwa miamala
Hapo sawa basi safari njema kujipigia campaign[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana Mkuu,mie najipigia kampeni tu nipate na mimi mtu wa kunishika mkono twende kanisani kufunga ndoa. Ila hata mimi hii ishu ya miamala sijailewa kabisa. Naungana na waTanzania wenzani ktk maumivu haya Mkuu.
Nia ni njema,ila najua ni njia nyingine ya kuifisidi nchi. Hela za namna hii ambazo hazipo kwenye mfumo unaeleweka hata zikiliwa hujui. Mfano,wanaweza pata fedha nyingi kwa miamala ya milioni kuendelea,ila tukaambiwa miamala ilofanyika sana na chini ya laki 5. Hapo tunakua tupigwa mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaifie na wewe,nimekuteua kuwa kampeni manager wangu nipate hilo jimbo Mkuu. Kwanini akachanjwe makalio na mimi baridi inaninyoosha hapa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sawa basi safari njema kujipigia campaign
UmepitaNisaifie na wewe,nimekuteua kuwa kampeni manager wangu nipate hilo jimbo Mkuu. Kwanini akachanjwe makalio na mimi baridi inaninyoosha hapa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weeeh hii picha nimeipenda[emoji3]
Nionyeshe nione ukweli wako mpendwa[emoji23][emoji23]Aah wanakudanganya
Pale nilipafaidi sasa 2020 likizo ya corona. Mungu anisamehe bure. Yaani ile mitaa kuna gest moja walikua wanajingia chumba kimoja hata watano,ukifika unafika bei,wenzie wanawapisha,huko nje serikali na Makonda wanataka level siti.Hatari sana
🤣🤣🤣Pale nilipafaidi sasa 2020 likizo ya corona. Mungu anisamehe bure. Yaani ile mitaa kuna gest moja walikua wanajingia chumba kimoja hata watano,ukifika unafika bei,wenzie wanawapisha,huko nje serikali na Makonda wanataka level siti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nionyeshe nione ukweli wako mpendwa[emoji23][emoji23]
Hiyo itanifanya niacha kuwaamini watu wa hapa jf.
Wallah kuna watu makauzu khaa![emoji23][emoji23]View attachment 1855357