Vituko mitandaoni. Tupia chako

Halafu hii kitu nmeshangaa sana. Wengi wa wanaojiita wanaharakati wamemuwekea chuki ya hali ya juu kijana wa watu utafikiri pesa anazopata zmetoka kwenye mgao wa serikali .. wakati mtu anapambana kwa jasho lake lakn kundi la wanaharakati njaa wamejaa na hasira hatari
 
Watu wamejaa wivu wa ajabu.
Ndiyo maana ukiwa na hela zako jifanyie mambo yako kimyakimya.

Yaani gari la mtu mwingine unamwaga povu kama lote.

Wataishia kumili smatphone za kugoogle maisha ya wengine.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Cjui anapata taabu sana akiwa waaapi!!!?
 
 
Ni mwanaharakati wa nini huyu mporomosha matusi mitandaoni?
 
Kwenye nyimbo 'sophisticated' ya Rick Ross anakwambia "even the black folk hate to see another nigga made it" ni kawaida yetu binadamu hasa ngozi zetu hizi, yani huwa tunachukia tu mafanikio ya mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…