Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20210712-WA0016.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwalimu wetu wa s/m alikuwa mkali balaa kuchapa,adhabu kali sasa juzi nimekutana nae msibani[emoji3]nikamwambia shogaangu vipi unamkumbuka huyo[emoji23][emoji23]akanambia ndio lilishatumbuliwa hilo na magu...saizi linauza pombe matapitapu[emoji23][emoji23][emoji23]ukali wote ule kumbe vyeti feki.... nyau yule[emoji16]
41796947_326367038114396_7631267989970485248_n.jpg
 
Back
Top Bottom