Allergy nyingi za ujauzito maigizo tu. Ila kabla hajaigiza anakuangalia kwanza mume kama una entertain maigizo.True brother,sasa ndo ukute amepata mimba changa na mimba ikukatae aisee km baba hujielewi ndo kipindi ambacho unaweza kufanya kitendo cha ajabu.Mara oohh unanuka jasho,!!,mara oh mafuta/manukato unayopaka yananikera,mara oh ukiniongelesha nitatapika,sitaki harufu ya pombe.Ukirudi mapema kero /ukiwahi home kero
Hapa ndo muda wa kupanga safari za dharura binafsi,jamani wanawake Mungu anawaona
Ulidhani nini??






