Sisi form six tunakaribia kufanya mitihani hivyo unaomba tutolewe kwenye mambo ya kufagia fagia.
Uwabata
uje DM sasa[emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...pole sana kwa kuachwa
Hivi kupigwa chini na kuachwa kupi kunauma sana[emoji3061][emoji3061]...!!!!!!ukuje chap kabla sijafungaMi nilipigwa chini wiki jana. Nakuja PM nikwambie kakitu [emoji16][emoji16][emoji16]
Unapanda gari za wapi kuja huko DM...[emoji848]uje DM sasa[emoji39]
Yaani nimeona hii text nimehisi kama kichwa kimegonga mbao ya mlango, pole madame.Leo naumwa[emoji15]