Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hoooovyooo!!!
Hoooovyooo!!!
Hakuna kitu hapo. Ni child abuse tu hii. Hawajui cho chote ...
Ndio zangu izo[emoji23][emoji23][emoji23]Huku juu wala hakuna foleni,kanyaga twende[emoji3]View attachment 1841562
Subiri siku breki ikukatikie huko juu,ndo utajua[emoji1787][emoji1787]Ndio zangu izo[emoji23][emoji23][emoji23]
We utaishia kuolewa na Wasukuma. Mark my words. We tutanie tu![emoji1787][emoji1787]na wamekaa Kwenye siti na mizigo yao wamebeba kichwani[emoji16]View attachment 1841793
Kumbe!!! Wewe ni msukuma[emoji3],hii ya mwisho.We utaishia kuolewa na Wasukuma. Mark my words. We tutanie tu!
Nilikuwepo eneo la tukio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1841792
Wenzio wanapoteaga huko[emoji3]wenzio wanatoka songea to nyasa,breki ikiwakatikia wanajikuta wapo malawi,shauri yako[emoji3]Nina backup ya ungo kama parachut...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana. Tuendelee tu na matani bana.Kumbe!!! Wewe ni msukuma[emoji3],hii ya mwisho.
[emoji3]sawa mkuu.Hapana. Tuendelee tu na matani bana.
Muone [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji3]sawa mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pombe si chai.Nilikuwepo eneo la tukio