Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,133
[emoji849]Duuh wasukuma,mmezidi[emoji3061]View attachment 1841541
[emoji849]Duuh wasukuma,mmezidi[emoji3061]View attachment 1841541
Sadaka ni akibaLabda nitoe maoni, ila sadaka bado kwa kweli.
Picha la kihindi enzi za Shash Kapoor [emoji23][emoji23]Huku juu wala hakuna foleni,kanyaga twende[emoji3]View attachment 1841562
Mimi huyo Jana baada ya dakika kumi tu[emoji56][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1839070
Hii ilikuwa kazi ngumu sana aisee. Sana sana hapo unaweza kuishia kuambulia kanga, gagulo au shanga na unaondoka ukiwa na furaha ajabu [emoji16][emoji16][emoji16]Mashairi yakibamba lazima utafune kucha[emoji23][emoji23]View attachment 1841613
Hata wewe mtaalam ulisumbuliwa[emoji16][emoji16]Hii ilikuwa kazi ngumu sana aisee. Sana sana hapo unaweza kuishia kuambulia kanga, gagulo au shanga na unaondoka ukiwa na furaha ajabu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mabinti wa Kisukuma walikuwa wagumu sana mkuu enzi zile. Yaani utazungushwa mpaka ukate tamaa tu. Halafu enzi zile tunakua eti ilikuwa hairuhusiwi kunyoa vuzi lile la kwanza baada ya kubalehe kama hujaonja mbususu. Ilikuwa inafikia mpaka mtu anachoka tu anatafuta hela anakwenda kujiripua kwenye mitaa ya Wah**ya...[emoji16]Hata wewe mtaalam ulisumbuliwa[emoji16][emoji16]