Heri ukutane na kundi la mbwa mwitu kuliko hawa!Tupo wanneView attachment 1836576
Gwaji girl njoo hku,,watu wanataka majibu

???Heri ukutane na kundi la mbwa mwitu kuliko hawa!
Hawa huwa hawashibi hawa!Utasikia nipe kuku nusu,chips yai moja, hambarge moja,sausage,wine moja na maji kubwa ya kilimanjaro.Halafu anatafuna kipande cha Kuku peke yake na vitu vingine anaacha hapo vikatupwe.
Nenfa lodge[ATTACHNenda Lodge=full]1836569[/ATTACH]

wageni shoti.