😂 😂 😂Lazma mkeo amfukuze tu
😂 😂 😂Hiiiiiii!!View attachment 1835968
Huyu ametisha! 🤣 🤣 🤣
Elimu haina uhusiano na utajiri; na lengo la elimu siyo kuwatajirisha waipatayo (labda huku Afrika ambako elimu hii tuliletewa tu na hatujui hasa lengo lake ni nini). Kama unasoma ili utajirike unapoteza muda tu; na elimu ya form 6 inakutosha kabisa.Ni wangapi kwa utajiri duniani?
Anapata pesa lakini au kujitolea?Elimu haina uhusiano na utajiri; na lengo la elimu siyo kuwatajirisha waipatayo (labda huku Afrika ambako elimu hii tuliletewa tu na hatujui hasa lengo lake ni nini). Kama unasoma ili utajirike unapoteza muda tu; na elimu ya form 6 inakutosha kabisa.
Mtu kama huyu simtegemei kuwa tajiri bali namtegemea kuwa ameandika vitabu na papers nyingi na ni mtu anayealikwa sana kwenye makongamano na mihadhara ya kitaaluma. Kazi yake kubwa ni kufanya utafiti, kuandika mawazo yake na kurithisha maarifa yake kwa vizazi vijavyo....
Huu ni mjadala mrefu na wa kina; na unaohitaji utulivu. Tuendelee tu na vituko mtandaoni mkuu tusije tukapotezeana muda bure....Anapata pesa lakini au kujitolea?


