Sasa si aombe tu
Hii inaweza ikawa kweli au wameunganisha picha tu?Siyo kituko hiki, ila ni funzo kwa dada zetu wanaopenda kuchanganya rangi
View attachment 1834952
Hata mimi nimejiuliza sanaNimefuatilia hii stori juzi,
Taarifa ni utopolo mtupu usiona na ukweli
Wapuuzi wameungaunga picha na kutengeneza fake news
Hannahable.I am feeling Heaven SentableView attachment 1835191
Fanya kile kinachoweza leta ushawish wa kukubaliwa na kuuteka moyo🤣Sasa tufanyeje maana bila hivyo hamkubali 🤣🤣🤣


Ndiyo hivyo kamanda anapambana hapoFanya kile kinachoweza leta ushawish wa kukubaliwa na kuuteka moyo🤣
lakin sio kuwa mtabiri kazi mnayo
Kwa dunia ya sasa A & B yote yanaweza kuwa majibuHii inaweza ikawa kweli au wameunganisha picha tu?
Duuh.....