Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Nkohi naona unatia mtego kisayansi zaidiUlishawahi kuishi na Msukuma? Najitolea uje ukae nami kwa mwezi mmoja uone tunavyokulaga. Kiugali cha wastani ila nyama na maziwa ndo nyingi. Na maparachichi yapo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kawaida tu hii kufanya kwa umpendaye 😂Ilishawah kukuta hii???View attachment 1834739
Na ukifikia hatua hii basi ujue kuwa umeshanasa kikweli kweli.Kawaida tu hii kufanya kwa umpendaye [emoji23]
Jamaa ni msukuma au mnyaki??? Note; mdada alikua wait.View attachment 1834685
Jibu gani hilo nililokua nalo???Kama mdada ni waiti, basi jibu unalo tayari
Labda