Vituko mitandaoni. Tupia chako

Lishe legelege ni Mbeya au wapi, na wapi umeona mnyaki kimbaumbau? Ushawahi kupewa nakozi na mwanamke tu wa kinyaki? Hako ni kasukuma kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]
Huyu kwanza ana matatizo ya lishe huyu. Msukuma gani wa hivi? Huyu likely ni Mnyaki wa huko huko kwenu; na ameathirika na lishe legelege ya ndizi na maparachichi.
 

We mkubwa ujue![emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…