Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,230
😥Hawa Waache uongo ,wakati babu adamu anakula Tunda walikua wapo uchi ,what is this??
Hizo tunguli au????
Mwenye mrejesho aulete. Mhu hapa sipati jibu wala swali la uhakika.
Mhu tumepishana, mimi la kulia tena la kushoto mara chache saana.
Mbavu zangu mweeeeeee. nakufa mie.
HaahaaaMhu tumepishana, mimi la kulia tena la kushoto mara chache saana.