Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna jamaa daily anataka kuondoka na chaja yangu kwa kisingizio kuwa inajaza faster kuliko yake, kinachoshangaza zote ziko sawa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha kuwa unapomaliza kuchaji simu yako usichomoe simu na kuiacha charger kuendelea kuwepo kwenye umeme!
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…