Haaaaa Haaaaa 😂 jamani nimecheka
Sio Rage ?Dah sura sio ngeni kabisa [emoji23][emoji23]
Kama sijakosea huyu alikuwa kwenye tangazo moja kwenye tv miaka ya nyuma huko!Sio Rage ?
Huyu c jamaa wa steps anawakumbusha raia kununua CD halali.? Kama ni yeye bc mimi nilikuwa namuona nikiwa bado kiunoni kwa mzee hvy hapa home sibanduki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anatafutwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1813449