Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji3][emoji3] unavitoa wapi hivi vituko[emoji119]
Nitakuletea source huko huko Green City. Usiwe na shaka. Unavipenda?

JF hapa kwangu ndo kijiwe cha kahawa kwa hivyo usinione hivi. Bila vijiwe hivi si ajabu ningewehuka kwa sababu mahali nilipo hakuna social life kabisa...Kwa hivyo nikicheka hivi na soulimeti basi miye roho kwatu nalala usingizi mnonooo [emoji16]
 
Ooh aisee wapi huko bila social life😒 maisha sijui yangekuaje! Basi endelea kuenjoy mkuu soulimeti. Hiyo source itabidi unidokeze kweli navipenda huwa nacheka sana
 
FB_IMG_1623186236520.jpg
 
Back
Top Bottom