[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji2958][emoji851]View attachment 1812776
Ulitaka uibe vitu wewe😂😂
financial services na anasbo naona mlikuwa nnapata shida haya hizi hapa
Siku ukinikaribisha kwako inabidi uwe macho. Ukizubaa tu nitaondoka na vitu kibao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Ulitaka uibe vitu wewe[emoji23][emoji23]
😂😂 utaishia barazani ujue! Ndani huingii😂Siku ukinikaribisha kwako inabidi uwe macho. Ukizubaa tu nitaondoka na vitu kibao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Tutaona...Nakuja huko Mbeya kwa sababu nahitaji sana financial services za soulimeti wangu jamani[emoji1734][emoji1734][emoji23][emoji23] utaishia barazani ujue! Ndani huingii[emoji23]
Karibu sana Soulmate! Ntafurahi kukuona na services zitakua free of charge 😀😀 ila tu kuna CCTV kila kona uwe makini😀Tutaona...Nakuja huko Mbeya kwa sababu nahitaji sana financial services za soulimeti wangu jamani[emoji1734][emoji1734]
😀😀 unavitoa wapi hivi vituko🙌