wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,940
- 5,746
Acha wenge Nenda unaitwa huko pm usivunge sote hapa watu wazimaleo una lipi jipya?yaan nije mimi?kweli una "matharau" mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wenge Nenda unaitwa huko pm usivunge sote hapa watu wazimaleo una lipi jipya?yaan nije mimi?kweli una "matharau" mtoto
Umejuaje ni Dogo?...!akufukuzaye Dogo!
Umejuaje ni Dogo?
Mbona mkitongozwa mnalia msipo tongozwa Ooh nina gundu
Kwan ukimpa Hiyo nyapu anaondoka nayo?? Ebu kuwa mtu mzima bn
Mpe utamu mwenzako bn
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishamuona ukajua ni Mdogo?? ☆Happy☆ ♡Valentine's♡ ☆Day☆!aisee...!nimewah lalamika wapi mm sitongozwi jaman..au kutongozw sifa
...dah..hv kweli mm wakutoka na mwanangu wa kumzaa kbs jamam
dogo mwenyew anakupigia kata k
😂😂😂😂😂😂..bora nicheke tu my dear!
Mfanyie mwenzako mazur bas usiwe mkatili hivocheers!
naona dogo anakuita piemu😂😂😂😂😂😂..bora nicheke tu my dear!
hiii inshu mbona imetrend sana
manengelo dada me sielewi
😂😂😂😂😂😂yan majnga tunaona dogo anakuita piemu
me nauza makufuli lakini usisahau😂😂😂😂😂😂yan majnga tu
dunia simama nishuke😂😂😂😂😂..nashindwa elewa nami
😂😂😂🚿🚿🚿dunia simama nishuke
wee hongera..bei?me nauza makufuli lakini usisahau
sawa na burewee hongera..bei?