Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tena huyo mwezi kajitahidi sana bora yeye, nilishawahi kukutana na dogo mmoja yeye kila siku anapasha yani ana hali mbaya
Kuna jamaa mmoja hajaoa na sasa amefikisha umri wa miaka 40.
Anasema tangu ameanza huo mchezo aliacha mara moja kwa muda wa siku 6 tu.
Na hizo siku 6 alisimama kwa kuwa alipata jeraha akashonwa, tangu hapo ni moto chini mpaka hivi sasa.
 
Kwani hana mke tu katika huo umri?! Kwa upande wangu naona wengi wanafanya hvyo sababu hawana wanawake ila ukiwa nae ni ngumu sana kujichua hata nafsi inakusuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…