Akili na umri Vimepishana njiapandaKuna haja ya kumuandama mkuu kuhusu hili jambo? [emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 1799087
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1799089
Wanapatikana kwenye makumbusho ya Amboni huko Tanga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siwwez acha kuwaangalia
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1799089
Vyenye sura mbaya huwa vitamu baraaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu ndiye samaki mwenye sura mbaya kuliko woteView attachment 1799099
Ladha yake nyama tupuSamaki huyu anayedhaniwa kuwa na sura mbaya kuliko wote anaishi kwenye maji yenye kina cha kuanzia futi 2000 mpaka 4000.
Akiwa ndani ya maji anakuwa na muonekano wa kawaida, akitolewa anapata muonekano wa kutisha.View attachment 1799100View attachment 1799101
Anapoteza muda Tu, hachomoki kwenye Hilo tope.