Hapo zamani Tanzania ilipogundua dawa ya COVID 19View attachment 1788777
Tatizo figure Mkuu.
Hapo lazma afande mmoja aumieView attachment 1796134
Mtuhumiwa pale anaporesist kukamatwa!
Kumbe kuna mtu, nilidhani liko yard! 🤣 🤣 🤣
Huyu mbwiga anatumia mkorogo
[emoji16][emoji16]nilikuwa namwambia askari nisingeweza kwenda kituoni mpaka wakili wangu afike!View attachment 1796136
Hapa naona amesalimu amri! Ngoja nisubiri afikishwe kituoni!!
Cc: Taavid
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]