LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,225
Dah sasa hawa machoko au wanakula tu hela na kukimbia
Dah sasa hawa machoko au wanakula tu hela na kukimbia
Kama mivao ya Koffi Olomide.
Nasisitiza bullet proof... Hakuna kucheza short cut hapo kama kutumia grenade au kilipuzi chochote. Wamejiamimi dadeq! 😬😭I can never believe this...haki ya Mungu,wazungu wana mchezo sana na pesa ila nna uhakika Buza hizi pesa zisingefika hata nusu siku.. damnit
View attachment 1789407
Ujue ulivyoongea hapa, ndiyo na mimi nikaenda kuchungulia. Kwa kweli msukuma akierevuka, mnyaki yu matatani😆😆💃💃😀 afu kwani umefanyaje mkuu?, nikiclick hizo highlighted words ndiyo naona username zetu🤔
Nimeshangaa nikiclick "Mbeya" inatokeza Heaven sent hee nikaclick "makanisa" naona ndugu yetu karma duh "mengi" eti ni financial services jamani😀😀 msukuma mjanja sasa ataturingiaa🙌Ujue ulivyoongea hapa, ndiyo na mimi nikaenda kuchungulia. Kwa kweli msukuma akierevuka, mnyaki yu matatani😆😆💃💃
Tutapata tabu mbona na msukuma mweehNimeshangaa nikiclick "Mbeya" inatokeza Heaven sent hee nikaclick "makanisa" naona ndugu yetu karma duh "mengi" eti ni financial services jamanimsukuma mjanja sasa ataturingiaa
SHIMBA YA BUYENZE



Kule makanisa kama yoye. Kila mtaa unamakanisa na sehemu nyingine kila baada ya nyumba 3 unakuta kanisa la mabati au turubai.
Sukuma Gang bado mnademka tu? Hanyantuki tena yule dhalim