Vituko mitandaoni. Tupia chako

Matuta ya barabarani huku kwetu Uswahilini duh! Sidhani kama wanaweza weka tuta kama hili Masaki au Oysterbay.
View attachment 1790699
Uswazi kila kitu ni ubabe na kukomoana ......hata mamlaka za nchi zinafanya hivyo
Tanesco umeme kama kimulimuli
Dawasa maji ya tope
Tarura matuta kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…