moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,327
- 775,818
Cheka unenepeNimechekaa sana
Cheka unenepeNimechekaa sana
Uza vyote umalize matatizo yako[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Hii ni kweli kabisa. Nina ushahidi wa kutosha [emoji16][emoji16][emoji16]
Ushindwee [emoji51][emoji51][emoji51]
Hao ndo waanzilishi wa Uwabata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu utaratibu wa kumshika hivi mikono Mama yetu watanzania tunaukataa,kwani hawezi kumsalimia kawaida jamani?Wakenya wanatutafuta [emoji51][emoji51]
Naunga mkono hoja [emoji16][emoji16][emoji16]Huu utaratibu wa kumshika hivi mikono Mama yetu watanzania tunaukataa,kwani hawezi kumsalimia kawaida jamani?Wakenya wanatutafuta [emoji51][emoji51]
Nashauri 'country boy' awe anasafiri nae aisee!
Typos hata kwenye meme ya sentensi moja. Eti muarifu [emoji16]